Go to...

0114_worldnews_726

RIPOTI KWA LEO TAREHE 20 OKTOBER 2016

Written By:
Posted in: Posted in: INJILI, News • October 20, 2016 • 0 Comments

RIPOTI LEO: – Nchi jirani zapinga nchi za kigeni kuingilia kati nchini Libya – UN yaeleza matumaini yake kuhusu makubaliano ya kisiasa DRC – Tanzania yajipata katika mgogoro na Korea Kaskazini Na habari zingine , jiunge nasi kwenye Ripoti baadaq… Continue Reading››

14725706_1760850714164408_7711480129663642651_n

BARAKA DRC: HABARI KAMILI YA MAUAJI

Written By:
Posted in: Posted in: News • October 16, 2016 • 0 Comments

Motard Lubembela Shabani Lube ameuawa kwa kupigwa risasi leo siku ya Jumapili mjini Baraka katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo muda wa saa nane za usiku. Asubui ilipokucha, ndiyo marafaiki zake Lubembela, kutokana na uchungu wa kumpoteza rafiki yao kipenzi,… Continue Reading››

14694818_650860208419223_395328595_n

HALI YA USALAMA TETE BARAKA, MAANDAMANO , MTU MMOJA APIGWA RISASI TUMBONI KUTOKEA MGONGONI

Written By:
Posted in: Posted in: INJILI, News • October 16, 2016 • 0 Comments

Hali ya usalama ni tete kwa sasa katika mji wa Baraka tarafa ya Fizi, baada ya muendesha pikipiki moja kuuwawa kwa kupigwa risasi usiku wakuamkia leo, kwa sasa risasi zinapigwa mji mzima waandamanaji hawarudi wanaendelea kupambana na askari kwa sasa… Continue Reading››

beni-1024x670

BENI: KUINGIA KWA WAPIGANAJI WA MAI MAI NA VISU KATIKA MJI WA BENI KUWINDA ADF

Written By:
Posted in: Posted in: INJILI, News • October 16, 2016 • 0 Comments

Kundi la Mai Mai wakiwa na silaha zao za visu walihingia jumamosi tariki 15 oktober 2016 wakati wa mchana katika mji wa Beni huko Kivu Kaskazini. Hawa wapiganaji wametoka katika vijiji jirani vya Beni, walikuja kufanya mzunguruko wa mji uho… Continue Reading››

beni-1024x670

RDC: KUNDI LA MAI MAI LAINGIA KUKOMBOA MJI WA BENI MCHAN KUTWA

Written By:
Posted in: Posted in: INJILI, News • October 15, 2016 • 0 Comments

Wapiganaji wa kundi la Mai Mai wamehingia katika mji wa Beni mchana kutwa. Walihingia katika mji uho kutokana na kushindwa kwa wanajeshi wa serekali na wale wa umoja wa mataifa kulinda raia wa KOngo. Wamekasirishwa na mauaji ya ndugu zao… Continue Reading››

masanjda

MUSIC VIDEO: MOYO MWEUPE – MASANJA MKANDAMIZAJI

Written By:
Posted in: Posted in: INJILI, News • October 13, 2016 • 0 Comments

Kutoka kwenye album yake ya SAPRAIZ, Masanja Mkandamizaji amekuletea video mpya ya wimbo wake wa MOYO MWEUPE, Video imeongozwa na Dir. Alex Joseck kutoka Enzi Filmz hakika utabarikiwa kwa video ya wimbo huu. Karibu!!

News

0114_worldnews_726

Oct 20, 2016 • 0

RIPOTI KWA LEO TAREHE 20 OKTOBER 2016

Written By:

RIPOTI LEO: – Nchi jirani zapinga nchi za kigeni kuingilia kati nchini Libya – UN yaeleza matumaini yake kuhusu makubaliano ya kisiasa DRC – Tanzania yajipata katika mgogoro na Korea Kaskazini Na habari zingine , jiunge nasi kwenye Ripoti baadaq… Continue Reading››

14725706_1760850714164408_7711480129663642651_n

Oct 16, 2016 • 0

BARAKA DRC: HABARI KAMILI YA MAUAJI

Written By:

Motard Lubembela Shabani Lube ameuawa kwa kupigwa risasi leo siku ya Jumapili mjini Baraka katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo muda wa saa nane za usiku. Asubui ilipokucha, ndiyo marafaiki zake Lubembela, kutokana na uchungu wa kumpoteza rafiki yao kipenzi,… Continue Reading››

14694818_650860208419223_395328595_n

Oct 16, 2016 • 0

HALI YA USALAMA TETE BARAKA, MAANDAMANO , MTU MMOJA APIGWA RISASI TUMBONI KUTOKEA MGONGONI

Written By:

Hali ya usalama ni tete kwa sasa katika mji wa Baraka tarafa ya Fizi, baada ya muendesha pikipiki moja kuuwawa kwa kupigwa risasi usiku wakuamkia leo, kwa sasa risasi zinapigwa mji mzima waandamanaji hawarudi wanaendelea kupambana na askari kwa sasa… Continue Reading››

MUZIKI

11987186_10153553305326071_8955188121730422496_n

Nov 19, 2015 • 0

TONNY GIST: MCHANGO WANGU NI KWAJILI YA GOSPEL YA AFRIKA MASHARIKI

Written By:

Katika pirika pirika zetu za kusaka waimbaji wa nyimbo za Injili (Gospel), tumefikia hatua ya kuwa na mawasiliano ya karibu na msanii wa nyimbo za Injili, Anthony Okello maarufu kama Tonny Gist. Mawasiliano hayo yameanzia kwenye mitandao ya kijamii na… Continue Reading››

12065917_1675450036025125_8461895825308625590_n

Nov 6, 2015 • 0

CHAGUA KIGUSILE MULENDA KUWA MWANAMUZIKI WA MWAKA WA NYIMBO ZA INJILI

Written By:

Tuma sms toka  XT128 kwenda 22348 kumchagua mwimbaji wa nyimbo za Injili Kigusile Mulenda

12204944_486849348155280_1647917902_n

Nov 2, 2015 • 0

MWIMBAJI CRISPIN CHALLE NA GAZUKO WATOA WIMBO MPYA “IMANI BILA MATENDO NI BURE”

Written By:

Wapenzi wa nyimbo za Injili kwenye cover hiyo ni wimbo mpya wa pamoja wa mwimbaji Crispin Challe na Gazuko. Uwe tayari kubarikiwa na wimbo huo pia usisubiri kuelezwa. Asanteni kwa support.  

VICHEKESHO

kipofu

Sep 4, 2015 • 0

KICHEKESHO CHA LEO 04-09-2015: KONDAKTA KIPOFU

Written By:

Kondakta mmoja akaingia kwenye gari amevaa suti za blue za daladala na miwani kisha akakusanya pesa gari zima alafu akakaa siti ya nyuma baadae Kondakta mwingine akaanza kukusanya pesa watu wakalalamika na kusema tayari tumelipa na kumuonyesha tuliemlipa Kondakta akacheka… Continue Reading››

sad-drunk

Aug 11, 2015 • 0

KICHEKESHO CHA LEO, 11-08-2015, MLEVI WAKUPINDUKIA

Written By:

cheka kidogo amsha mbavu asubuhi hii Jamaa mmoja alikuwa mlevi wa kupindukia siku moja alirudi usiku amelewa na yupo chakali mbaya alifika kwake akajitupia kitandani, kwa kawaida huwa anaondoka saa 11 alfajiri huwa kuna gari malumu inamuijia, hiyo siku alilala… Continue Reading››

11084627_382045901999498_181960321_n

Aug 8, 2015 • 0

KICHEKESHO CHA LEO 08-08-2015, MMASAI KWENYE MSIBA

Written By:

Mmasai kapewa kipaza sauti msibani- akaanza Musiba oyee! jenesa safii? Amependesa hajapendesa? Mwenye wifu akufe kama hii mutu hapa kwenye jenesa. Kwansa kabisa napenda kusukuru hii marehemu sababu ina upendo, nafanya sisi nakutana leo, nakula wali musuri, nakunywa bia, na… Continue Reading››