BREAKING NEWS: MJI WA MANCHESTER KATIKA VILIO BAADA YA SHAMBULIZI LA KUJITOA MUHANGA

Nchini Uingereza katika mji wa Manchester, watu 22 wameuawa na wengine 50 kujeruhiwa baada ya mtu mmoja kujiuwa kwa kujitoa muhanga. Hayo yalitukia baada ya tamasha la mwanamuziki wa kike Ariana Grande.