FC FIZI DOUBLE CHAMPIONS: YACHUKUA KOMBE LA MWAKA NA KUPANDA DARAJA CANADA

Vijana wa FC Fizi wamejihakikishia tena ushindi katika ligi ambayo unajumuisha nchi za Afrika zaidi ya kumi. Kila mwaka kunakuwa mitanange mikali inayokusanya vijana wanaoishi Canada kutoka Afrika ambao anayeshinda u bingwa anapanda daraja la Juu. Kizuri sana cha ligi ihi  nikwamba unaweza kupanda daraja mpaka ukafikia kwenye daraja kuu ambalo linaloendelea kuongoza huko Canada na ukawa timu kamili inayojulikana Canada na mafanikio kuwa mengi.

Kwa wakati uhu tunaongelea michezo iliyochezeka huko Canada kwajina la Tournoi Francophone Edmonton Canada 2017. Kwenye ligue ya huko Edmonton FC Fizi imeingia kwenye daraja la kwanza baada ya kuwa ma kampioni mara pili. Hiki kimezidisha hali nzuri ya vijana hawa na kuonekana wakiwa makini kwa kucheza mpira ambayo  ni pia sehemu ya kuleta vijana hawa kwa pamoja na kuwa na mawasiliano ambayo yanaonesha umoja na upendo. Tutaendelea kukujulika kila msimu mambo ghani ambayo yatakayoendelea huko Canada.

Na Emanuel