Let Love Lead

Wimbo wako ku Radio?

Wimbo wako wa injili ya Yesu Kristo unaweza kuchezwa kwenye radio yetu. Basi Bonyeza hapa na utuhandikie wimbo unaho hitaji na ubarikiwe ...

Matangazo

Hacha tuwe wakwanza kukutangazia biashara zako ao mkutano wako. Atutangazi viashara ambavyo viko kinyume na Imani letu. Wasiliana nasi .....​

TUPO HEWANI MA SAA 24/7​

Sikiliza Radio yetu ma saa 24 na uburudike, uhelimishwe na ufunzwe kutokana na Neno la Mwenyezi Mungu aliye tuhumba kupitia mtoto wake Yesu Kristo. Kumbuka unaweza kutusikiliza kupitia njia nyingi tofauti sana. Unaweza kutusikiliza kupitia link hizi zifuatazo hata kwenye simu yako. Bonyeza simu uliyo nayo hapa: Iphone, Android, Blackberry, Nokia, Winamp , Windows Media player, Real Player na QuickTime. Pia huko Tanzania tutaendelea kuskikika kupitia FM Radio. Basi kutufuatilia wakati tutakapo kujulisha masafa ambayo utatusikiliza kutoka huko Tanzania.

tUPO HEWANI MA SAA 24/7

Sikiliza radio yetu ma saa 24 na uburudike, uhelimishwe na ufunzwe kutokana na Neno la Mwenyezi Mungu alieye tuhumba kupitia mtoto wake Yesu Kristo. Kumbuka unaweza kutusikiliza kupitia njia nyingi tofauti sana. Unaweza kupitia link zilizo hapa juu kamana hata kwenye simu uliyonayo kama: Iphone, Android, Blackberry, Nokia, Wnamp, Windows Media Player, Real player na QUick Time. 

Management

Umojaradio inaendelea kusimama kidete kutokana na rehema na nguvu za Mwenyezi Mungu. BIblia inatuambia katika kitabu cha Wafilipi 4:14 ” twaweza yote kutokana na yeye atutiaye nguvu. Basi kazi ihi ya umojaradio inaendelea kufikia wale waitajika maana tunaamini kwamba sisi wote tumezaliwa na nguvu za kusaidia wanaohangaika katika maisha haya. Hiyo ndo maana ya ule msemwa hapo juu kwamba hacha upendo utawale. 

Developement

Umoja Radio imehanza mwaka wa 2012 kupitia YouTube. Malengo yalikuwa kutangaza injili ya Yesu Kristo ulimwengu nzima na kutokana na hayo Mungu katuwezesha kupata ufahamu wa kufungua radio ihi kwenye mtandao wakijamii. Baada ya kufungua radio ihi basi kwa rehema za Mwenyezi Mungu umojaradio ilipanua masafa na kufungua kituo kingine hapo kambini Nyarugusu nchini Tanzania.