Digital news
Informative Platform

NILIKOTOKA BEST MOVIE SOUTH KIVU 2018

hatimaye director Abema Charles anyakua tunzo kwenye mashindano y’a FECIGLAC 2018 kwenye kitengo cha FILAMU BORA SUD KIVU hiyo Jana Bukavu. Hivio tunashukuru kwa wote wanaizidi kusuppoet kazi zetu maana kwasasa filamu za uvira na Fizi zinaanza kwenda kimataifa mpaka … Readmore

UCHAGUZI WA KONGO KWANI UNA MAFAA ?

UCHAGUZI WA KONGO KWANI UNA MAFAA ?

Tumeulizwa maswali mengi kuhusu uchaguzi wa Kongo ikiwa uchaguzi wa sasa utawafaa wananchi. Kuhusu uchaguzi kwa sasa hivi sisi wote tunajua kwamba wakati wa uchaguzi ulikuwa mwaka uliopita ila kwa sasa kama uchaguzi umekuja basi kwa njia hiyo. Uchaguzi uwa … Readmore

Kambini Nyarugusu ni hataree sheria mpya

Kambini Nyarugusu ni hataree sheria mpya

Katika kambi ya wakimbizi Nyarugusu huko Tanzania wakuu wametoa amri ambazo zinapaswa kutekelezwa na wakimbizi wote ambao wanaishi kambini humo. Sheria hizo zinaweka wasi wasi na kutoa maswali mengi ikiwa sio njia ya kuwaambia wakimbizi rudieni kwenu manyumbani. Sheria zimoja … Readmore

Gloire Karl atupo naye tena ulimwenguni

Gloire Karl atupo naye tena ulimwenguni

Habari ya kuhuzunisha ambayo imepiga mioyo yetu wakati uhu ni kufariki kwa kijana huyu kwajina la Gloire Karl kutoka Canada, mtoto wa Prof. Karuba kwa wale ambao walikuwa makambini Nyarugusu. Kijana amesemekana kufariki baada ya ugondjwa uliompata. Kwa wakati uhu … Readmore

Kijana apoteza mke wake baada ya kuanguka

Kijana apoteza mke wake baada ya kuanguka

Kwa mara yapili najihisi kama tumebadili mwelekeo na kuhanza kutangaza habari za kilio. Ndugu zangu hilo sio ndo lengo letu ila dunia ihi kunatokea mambo ya ajabu na ya kushangaza. Habari ambayo imetufikia kwa wakati uhu ni kufariki kwa mke … Readmore

Ebola tena Kongo ao kinaletwa tu?

Ebola tena Kongo ao kinaletwa tu?

Shirika la Afya Duniani WHO limetangaza kuwa limechukua hatua za kukabiliana na kuenea kirusi cha ugonjwa wa ebola nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo. WHO imetangaza kuwa imechukua hatua ya kutuma vifaa na wafanyakazi wanaohitajika katika maeneo ya nchi hiyo … Readmore

Wajumbe wa Moise Katumbi wazungukwa na polisi

Wajumbe wa Moise Katumbi wazungukwa na polisi

Delly Sesanga anajulisha kwamba Moise Katumbi anakuja, saa moja kwenye mpaka kati ya DRC na Zambia. Katibu Mkuu wa Ensemble, ambaye anawasiliana na Katumbi mara kwa mara, alisema kuwa gavana wa zamani wa Katanga alikwenda mpakani kutambua kukataa kwa mamlaka … Readmore

Jean P. Bemba atoa rasmi nia ya kuchaguliwa

Jean P. Bemba atoa rasmi nia ya kuchaguliwa

Masaa 24 baada ya kutoa hati yake ya kuchaguliwa kwenye Tume ya Uchaguzi ya Taifa ya Independent (CENI), Jean-Pierre Bemba anaandaa mkutano wa waandishi wa habari Ijumaa saa 13 H 00 katika eneo la GB ambako anaishi tangu kurudi nyumbani. … Readmore

Mnangagwa mshindi uchaguzi wa rais Zimbabwe

Mnangagwa mshindi uchaguzi wa rais Zimbabwe

Tume ya Uchaguzi nchini Zimbabwe, imemtangaza asubuhi ya leo Rais wa sasa Emmerson Mnangagwa kuwa mshindi wa uchaguzi wa rais uliofanyika siku ya Jumatatu iliyopita. Kwa mujibu wa tume hiyo, Mnangagwa¬†ameibuka mshindi kwa kupata asilimia 50.8 za kura, huku mshindani … Readmore

Rais Mugabe Asalimu amri Aondoka

Rais Mugabe Asalimu amri Aondoka

Rais Robert Mugabe wa Zimbabwe hatimaye amesalimu amri na kukubali kujiuzulu. kufutia mashinikizo ya kila upande ya kumtaka aachie madaraka. Jacob Mubenda, Spika wa Bunge la Zimbabwe amesema amepokea barua ya kujiuzulu kutoka kwa kiongozi huyo mkongwe mwenye umri wa … Readmore

Fc fizi double champions Yachukua kombe

Fc fizi double champions Yachukua kombe

Vijana wa FC Fizi wamejihakikishia tena ushindi katika ligi ambayo unajumuisha nchi za Afrika zaidi ya kumi. Kila mwaka kunakuwa mitanange mikali inayokusanya vijana wanaoishi Canada kutoka Afrika ambao anayeshinda u bingwa anapanda daraja la Juu. Kizuri sana cha ligi … Readmore

We love sharing knowledge with others on Social!